1 Peter 2:6

6 aKwa maana imeandikwa katika Maandiko: “Tazama, naweka katika Sayuni,
jiwe la pembeni teule lenye thamani,
na yeyote atakayemwamini
hataaibika kamwe.”

Copyright information for SwhKC